
Fr's Jumuiya meeting today after 2nd Mass and they will be having Mass on Wednesday 22nd Oct. 500.00 NB: Lunch will be provided to the interviewees. Baba Dogo Sacred Heart School announces interviews for 2015 admission (pre-unit – Std 6) which will take place on Tuesday 18th November 2014 between 8.00am and 4.00pm. Groups and Jumuiyas to prepare and bring the calendar of activities by 1st November 2014.
#Kitabu cha mwimbieni bwana registration
COMPUTER OCTOBER INTAKE Registration on-going at 200/=.

Priests visit & Holy Mass Eastern Zone 4. Next Sunday: 30th Sunday in Ordinary time year A 1st Mass: St. We thank the Christians who animated TODAY'S MASSES 2. Atakuja tena kwa utukufu/kuwahukumu wazima na wafu /nao ufalme wake hautakuwa na mwisho./ Nasadiki kwa Roho Mtakatifu,/Bwana mleta uzima:/atokaye kwa Baba na Mwana./Anayeabudiwa na kutukuzwa/pamoja na Baba na Mwana:/Aliyenena kwa vinywa vya Manabii./Nasadiki kwa Kanisa moja, /takatifu, Katoliki, la Mitume./ Naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi./Nangojea na ufufuko wa wafu./ Na uzima wa milele ijayo./ Amina.ĪNNOUNCEMENTS / MATANGAZO 1. Akasulibiwa pia/kwa ajili yetu sisi akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato,/ akafa,/ akazikwa. Akapata mwili kwa uwezo wa Roho Mtakatifu/ kwake yeye Bikira Maria / akawa mwanadamu. Ameshuka toka mbinguni kwa ajili yetu sisi wanadamu na kwa ajili ya wokovu wetu. Aliyezaliwa bila kuumbwa,/ mwenye umungu mmoja na Baba / ambaye vitu vyote vimeumbwa naye. Mungu aliyetoka kwa Mungu,/ mwanga kwa mwanga,/ Mungu kweli kwa Mungu kweli. Nasadiki kwa Bwana mmoja Yesu Kristu,/ Mwana wa pekee wa Mungu. NASADIKI Nasadiki kwa Mungu mmoja, /Baba Mwenyezi,/ Mwumba mbingu na nchi, na vitu vyote vinavyoonekana, na visivyoonekana. Akawaambia, Basi, mlipeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na Mungu yaliyo ya Mungu. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii, na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari. Basi utuambie, Waonaje? Ni halali kumpa Kaisari kodi, ama sivyo? Lakini Yesu akaufahamu uovu wao, akasema, Mbona mnanijaribu, enyi wanafiki? Nionyesheni fedha ya kodi. Wakatuma kwake wanafunzi wao pamoja na Maherodi, wakasema, Mwalimu, twajua ya kuwa wewe u mtu wa kweli, na njia ya Mungu waifundisha katika kweli, wala hujali cheo cha mtu awaye yote, kwa maana hutazami sura za watu. Mafarisayo waliendo zao, wakafanya shauri, jinsi ya kumtega Yesu kwa maneno. 22:15-21 Somo katika Injili ilivyoandikwa na Mathayo. 15:15 Aleluya, aleluya! Ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia, kwa Baba yangu nimewaarifu.

Kwa maana, ndugu mnaopendwa na Mungu, twajua uteule wenu ya kwamba injili yetu haikuwafikia katika maneno tu, ball na katika nguvu, na katika Roho Mtakatifu, na uthibitifu mwingi. Wala hatuachi kuikumbuka kazi yenu ya imani, na taabu yenu ya upendo, na saburi yenu ya tumaini lililo katika Bwana wetu Yesu Kristo, mbele za Mungu Baba yetu. Twamshukuru Mungu siku zote kwa ajili yenu nyote, tukiwataja katika maombi yetu. Paulo, na Silwano, na Timotheo, kwa kanisa la Wathesalonike, liliIo katika Mungu Baba, na katika Bwana Yesu Kristo.

1: 1-5 Somo katika waraka wa kwanza wa Mtume Paulo kwa Wathesalonike.
